Tuesday, 5 April 2016

Picha,ScootEBikes mpya wanazotambiana wasanii wa mbele mwaka huu.

chriss
Chris Brown amekuwa miongoni mwa wasanii waliojinunulia ScootEBikes na kuibadilisha kabisa muonekano wake na inasemekana upigaji wa rangi wa ScootEBikes inagharama kuliko ScootEBikes yenyewe.
Kupiga rangi kama ya Brezzy ni dola $2,500 kama milioni tani za kibongo na gharama ya ScootEBikes ni dola 1500.
Watu maarufu kama Floyd Mayweather ,Diddy, The Game, French Montana, Ray J na Soulja Boy tayari wanazo ScootEBikes.

 0331-chris-brown-electric-bike-tmz-3 0331-souja-boy-diddy-electric-bike-instagram-3

Tinashe na Zendaya wamemu UnFollow Chris Brown Instagram,moto wake sasa,jamaa kapanic.

chris brown drama
Rnb staa Chris Brown amewakasirikia vikali wasanii wawili Tinashe na Zendaya baada na wana dada hawa ku unfollow kurasa ya Instagram ya Chris Brown.
Chris alitumia Insta yake kutupia maneno haya makali kwa Tinashe ambaye hivi karibuni walifanya wimbo pamoja wa Tianshe Ft Chris Brown ‘Player’.
Sababu ya ku Unfollow kurasa ya Chris Brown imetajwa kuwa ni kauli zake mbaya kwa msanii mwenzao wa Rnb Kehlani aliyetaka kujiuwa.
Chris amewachana kwa kusema “Yeye sio mtu wa kuoba collabo kama wao na hahitaji mtu kwenye wimo wake, hayupo kwneye kundi lolote na anafanya mambo mwenyewe, pia kumbuka kuna maisha na kazi ya maisha yako, hawani pendi sababu kila siku wanashika namba mbili na sio moja, nyie mmetengenezwa kuwa mlipo, mimi nilizaliwa CHRIS BROWN‘.

chris brown