Rnb staa Chris Brown amewakasirikia vikali wasanii wawili Tinashe na
Zendaya baada na wana dada hawa ku unfollow kurasa ya Instagram ya Chris
Brown.
Chris alitumia Insta yake kutupia maneno haya makali kwa Tinashe
ambaye hivi karibuni walifanya wimbo pamoja wa Tianshe Ft Chris Brown
‘Player’.
Sababu ya ku Unfollow kurasa ya Chris Brown imetajwa kuwa ni kauli
zake mbaya kwa msanii mwenzao wa Rnb Kehlani aliyetaka kujiuwa.
Chris amewachana kwa kusema “Yeye sio
mtu wa kuoba collabo kama wao na hahitaji mtu kwenye wimo wake, hayupo
kwneye kundi lolote na anafanya mambo mwenyewe, pia kumbuka kuna maisha
na kazi ya maisha yako, hawani pendi sababu kila siku wanashika namba
mbili na sio moja, nyie mmetengenezwa kuwa mlipo, mimi nilizaliwa CHRIS
BROWN‘. |
No comments:
Post a Comment